Ni April 20, 2023 ambapo leo nimekuletea ushuhudie maajabu ya TV za Haier haijawahi kutokea shuhudia hapa.
Unaambiwa katika TV hizo za Haier kuna App inaitwa Ok Google ambayo itamsaidia mteja kuongea kwenye Remoter na kuimuru TV yake ifungue kile anachokihitaji aidha ni Neflix ama chochote kile.
Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Balozi wa Haier kutokea Makao Makuu ‘Salamander Tower’ Dar es Salaam akielezea TV hivyo mpya.
View this post on Instagram