Leo December 27 2018 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania Hamza S. Johari amezungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Kampuni ya Fastjet na matatizo yaek na jinsinwatu wanavyoona wanaipendelea Air Tanzania.
”Wanasema tunaipendelea Air Tanzania, sio kweli, Fastjet wanamatatizo” Mkurugenzi. Unaweza kuendelea kuitazama LIVE nimewekea Link chini hapa.
LIVE: Mkurugenzi wa Mamlaka ya Anga Akijibu maswali ya waandishi wa HABARI