Kutoka nchini Ireland, nchi ambayo ni ya misingi ya Kikristo, kwa karne nyingi suala la kuuza pombe siku ya Ijumaa Kuu limekuwa ni marufuku, na hii ni kutokana na misingi yao ya kidini.
Desturi hii imebadilishwa kabisa baada ya serikali ya nchi hiyo kutangaza ruksa ya mtu yeyote kunywa pombe siku ya Ijumaa Kuu bila kuchukuliwa hatua zozote.
Sheria mpya hii ilipitishwa na bunge la nchi hiyo mwezi January, 2018 hivyo leo pub na bar zote zitafunguliwa na kufanya biashara kama zilivyo siku za kawaida.
BREAKING: “Silaha iliyomuua AKWILINA haijajulikana bado” -Kamanda Mambosasa