Msanii wa Bongo Fleva, Bonge la Nyau time ameachia hii video mpya ya single iitwayo Aza aliyomshirikisha Q Chillah, video hiyo imetayarishwa na Kwetu Studio.
Ukishamaliza kuitazama hii video sio mbaya ukituachia na comment yako wakali hawa watapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.
https://www.youtube.com/watch?time_continue=8&v=ynbuuI_plEM
ULIIKOSA HII YA PATORANKING KUHUSU LIST YA WATANZANIA ALIOFANYA NAO COLLABO BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA