Leo February 28, 2018 Watu watatu wanaodaiwa kuwa makada wa CHADEMA waliojeruhiwa na risasi wakati Polisi wakitawanya Maandamano ya uchaguzi mdogo wa Kinondoni wameachiwa kwa Dhamana ya Bondi ya Shilingi Milioni 1 na laki tano na mdhamini mmoja pamoja na kutotoka nje ya nchi Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Nimekuwekea Picha 10 za Wanachama hao wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
WALIOJERUHIWA KWA RISASI MAANDAMANO YA CHADEMA WAFIKISHWA MAHAKAMANI