Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe baada ya kulala mahabusu usiku wa February 23, 2018 kwa sababu ya Ziara ya kutembelea madiwani wa Chama cha ACT Wazalendo katika Mikoa 8 nchi nzima.
Wakili wa Zitto amesema muda huu ameachiwa kwa dhamana ya maneno yenye thamani ya Milioni 50, na amedhaminiwa na Wakili wake, Emmanuel Lazarus Mvula.
Mavula amesema Zitto anatakiwa kuripoti Polisi Kituo Kikuu cha Polisi cha Mkoa wa Morogoro Jumatatu, March 12, 2018.
BREAKING: WATU 28 WALIOKAMATWA ‘SIKU YA KIFO CHA AKWILINA’ WAPANDISHWA KIZIMBANI