Puskas Award ni tuzo ambayo ilianzishwa October 20 mwaka 2009 na shirikisho la soka duniani FIFA kwa amri ya Rais wa FIFA Sepp Blatter, tuzo hii uhusisha magoli bora kwa mwaka husika ambapo yatachujwa hadi kufikia moja ambalo mfungaji wake atapewa tuzo ya ufungaji bora kwa mwaka husika.
Usiku wa November 6 shirikisho la soka ulimwenguni FIFA limetangaza magoli 1o bora yaliofungwa kwa mwaka 2015 ila November 30 watachuja na kutangaza magoli bora matatu ambayo January 11 2016 Zurich Uswiss watatangaza goli moja bora na mshindi atapewa tuzo ya ufungaji wa goli bora la dunia, miongoni mwa magoli bora yaliotajwa ni goli la Lionel Messi, Carlos Tevez na David Ball.
David Ball
Gonzalo Castro
Alessandro Florenzi
https://youtu.be/8aqd2s6nKA0
Wendell Lira
https://youtu.be/NG-d-aHadKo
Carli Lloyd
Lionel Messi
https://youtu.be/C_Ya_BUmSWc
Philippe Mexes
https://youtu.be/4NEAv0zbuoo
Marcel Ndjeng
https://youtu.be/r7pqf29lXv4
Esteban Ramirez
Carlos Tevez
https://youtu.be/9w8FhfIbew4
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE.