Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa amewahakikishia wananchi wa Mkoa huo kuwa hali ya ulinzi na usalama katika Mkoa huo ni shwari na kutoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi katika zoezi la kujiandikisha vitambulisho vya uraia.
“Mwamko wa watu mkoani Mtwara kwenye kujiandikisha kupata vitambulisho vya uraia bado ni mdogo sana, na hata idadi ikiongezeka mashine na vifaa kwa ajili ya zoezi hilo vitaweza kukidhi mahitaji yaliyopo.” RC Gelasius Byakanwa
“Tusikae kimya tukiona hatutendewi haki” –Hussein Bashe
BREAKING: TRA kuanza kumchunguza Kakobe, “nina hela kuliko Serikali”