Mwanasheria wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu jana alikamatwa na polisi na kufikishwa kituo cha polisi cha kati Dar es salaam kwa mahojiano kutokana na tuhuma za uchochezi zinazomkabili.
Leo July 21 2017 nje ya kituo hicho cha polisi Wakili wa Tundu Lissu, Fatma Karume amezungumza na Waandishi na kusema wameiomba Mahakama kuu kuiomba Lissu apelekwe Mahakamani.
Hii hapa chini ni video ya Fatma Karume akiongea kwa undani..
EXCLUSIVE: Wakili Kibatala kuhusu Tundu Lissu kukamatwa na Polisi, Bonyeza play hapa chini kutazama
VIDEO: Tundu Lissu alivyogoma kutoka Mahakamani ili asikamatwe na Polisi, tazama mwanzo mwisho kwa kubonyeza play hapa chini