Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso ambaye amejizolea umaarufu Bungeni kutokana na mtindo wake wa kujibu maswali ya wabunge kwa kunogesha na vionjo vya maneno leo September 7, 2018 miongoni mwa maswali aliyokutana nayo ni pamoja na swali kutoka kwa Mbunge wa Kibiti Ally Ugando aliyetaka kujua kama Waziri yupo tayari kwenda Kibiti?
RC Makonda aongelea Simu ya JPM kwa Waziri Lukuvi