Baada ya Kamati ya hesabu za Serikali (PAC) kuwasilisha Bungeni taarifa rasmi ya shughuli za kamati kwa mwaka 2018 ikiwemo kujibu hoja iliyoibuliwa na Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe kuhusu upotevu wa Trilion 1.5 wakati akichambua ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG), Baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo wameongea na Waandishi wa habari nje ya ukumbi wa Bunge na kuelezea namna walivyopewa ufafanuzi sahihi wa fedha hizo.
Usiyoyajua kuhusu madai ya upotevu wa Trilion 1.5 zinazotajwa na Zitto Kabwe