Watanzania hasa watu wangu wanaojua elimu bora wameendelea kuhakikishiwa wataendelea kupata huduma nzuri ya masomo baada ya St John’s University of Tanzania (SJUT) Kampasi ya Chief Mazengo Dodoma, kuwatangazia nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2017/2018 utakaoanza mwezi wa 09 mwaka 2017.
Hii hapa Good News yenyewe!