April 3, 2018 Mkutano wa kumi na moja wa Bunge la jamhuri ya Tanzania umeanza Dodoma ambapo kazi ilianza kwa kipindi cha maswali na majibu na hapa nimekusogezea maswali makubwa saba yaliyoulizwa na Wabunge kisha na Serikali kutakiwa kuyajibu.