Leo October 3, 2017 Wizara ya Afya kwa kushirikiana na TCRA pamoja na C-sema wamezindua tovuti mpya ya kutoa taarifa kuhusu picha na video za mitandaoni zenye maudhui ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto.
Lengo ikiwa ni kusaidia kuongeza usalama wa watumiaji wa mitandaoni na kuhakikisha kuwa watoto walioathirika na ukatili wa kingono hawapatii unyanyasaji zaidi kwa picha za unyanyasaji wao kusambazwa mitandaoni.
Ulipitwa na hii? Fursa nyingine waliyoitoa ubalozi wa Marekani kwa Watanzania