Jeshi la Polisi Dodoma limewakamata watu wawili wanatuhumiwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uchochezi kwenye mitandao ya kijamii wakiwataka watu kujitokeza kufanya maandamano siku ya April 26 mwaka huu.
Kamanda wa Polisi mkoani humo Gilles Muroto amesema…>>>”Watu hawa wamekuwa wakihamasisha wananchi kufanya maandamano, tulishasema Serikali haijalibiwi leo tunaanza kutoa mifano kwao. Wale wote wanaoijaribu Serikali tutahakikisha tunawachukulia hatua za hali ya juu sana”
Tazama zaidi hii video hapa chini…….