Ofisi ya Mambo ya Nje ya Uingereza imeuza ubalozi wake uliokuwa nchini Thailand kwenye mji wa Bangkok kwa Euro Milioni 420 ambayo ni sawa na Tsh Trilioni 1.134.
Inaelezwa kuwa hii ni bei kubwa zaidi kuwahi kutokea kuuza mali ama ofisi zilizoko nje ya Uingereza huku pesa hiyo ikiripotiwa kuwa mara tatu ya bajeti ya kila mwaka ya nchi hiyo.
Fedha hiyo iliyopatikana kutokana na mauzo ya Ubalozi huo inatarajiwa kutumika katika kukarabati majengo ya balozi nyingine za Uingereza duniani kote.
JPM akihutubia kwenye Uzinduzi wa Hati ya kusafiria ya Kielektroniki