Dada wa Akwilina ambaye aliyepigwa Risasi akiwa kwenye daladala wakati Jeshi la Polisi linawatanywa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amezungumza na AyoTV kuhusu taratibu za mazishi na ameelezea ndoto alizokuwa nazo mdogo wake.
“Kuhusu ni lini atazikwa tunasubiri tamko la Jeshi la Polisi, walisema mwili unafanyiwa uchunguzi na watatupa majibu Jumatatu, tumemuomba Waziri haki itendekee, Akwilina alitamani sana aje amsaidie mama yake, alisema atasoma sana,” -Dada Yake Akwilina
“Serikali itagharamia mazishi ya Mwanafunzi aliyeuawa” -Prof. Ndalichako