Kutoka jijini Arusha AyoTV imezipata taarifa za Diwani wa kata ya Daraja Mbili Arusha Prosper Msofe katika jimbo la Arusha Mjini amejiuzulu nafasi yake nakuhamia CCM kwa madai ya kumuunga mkono Rais Magufuli.
Pamoja na mambo mengine Prosper Msofe amesema CHADEMA kimekuwa chama kinachoongozwa na Mbunge Lema katika mkoa wa Arusha na ameadai kuwa Meya amekuwa akikataa kuambiwa ukweli.
Mkurugenzi wa jiji la Arusha Athumani Kihamia amekiri kupokea barua hiyo na zikiwemo barua za madiwani wengine wa CHADEMA kujiuzulu nafasi zao hizo kwa madai wa kuhamia CCM.
Baba Mzazi wa Akwilina aomba kuonana na JPM, amesema ana siku 4 hajaoga