Naibu Waziri wa Muungano na Mazingira Luhaga Mpina ameagiza wamiliki wote wa viwanda katika wilaya ya Kinondoni waende kuunganishwa katika mfumo rasmi wa Dawasco wa kuondosha maji taka na kwamba hakuna wenye kiwanda yeyote anayeruhusiwa kumwaga maji taka kwenye mfereji wa mvua.
“Wafanyabiashara wote wanaotiririsha maji kutoka kwenye viwanda vyao wakishajiandikisha Dawasco wataelekezwa jinsi ya kuuganisha maji taka hayo ili kuondolewa na mfumo rasmi wa Dawasco.” – Luhaga Mpina
Uliikosa hii? Kama unatumia maji ya DAWASCO, kuna hii ya kufahamu