Leo February 28, 2018 Watu watatu wanaodaiwa kuwa wafuasi Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na shtaka la kufanya mkusanyiko isivyo halali.
Hata hivyo, watu hao watatu wameunganishwa katika kesi ya wafuasi 28 wa CHADEMA ambao walifikishwa mahakamani hapo wiki iliyipita….Bonyeza PLAY hapa kumsikiliza Wakili katika kesi hiyo akiongea
BAADA YA MBOWE KUHOJIWA KWA ZAIDI YA SAA 4 POLISI