Jeshi la Polisi Jijini Arusha kupitia kwa Naibu Kamishina wake ambaye pia ni Afisa Mnadhimu wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Theopista Malya leo January 2, 2018 wamefanya ukaguzi kwenye magari ya abiria na ya watu binafsi.
Katika ukaguzi huo moja ya makosa waliyokutana nayo ni ubovu wa magari kitu kilichosababisha kung’olewa kwa plate namba kwenye magari matano ya kampuni ya A to Z, kukamata magari zaidi ya hamsini pamoja na kukusanya zaidi ya milion moja ya faini kwa wenye makosa kwa siku ya leo.
JPM alivyofika kwenye Msiba wa Mke wa Naibu Waziri Kangi Lugola
“Katikati yetu wametokea watu wakatili”-Waziri Nchemba