Leo January 4, 2018 Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Professa Benno Ndulu ametangaza kuzifungia benki 5 nchini kutokana na kukosa mtaji na fedha za kutosha kujiendesha.
Benki hizo ni pamoja na Covenant Bank for Women, Efatha Bank Limited, Njombe Community Bank, Meru Community Bank na Kagera Farmers’ Cooperative Bank.
“Kufungiwa maana yake ni kuwa watasitisha shughuli zote za kibenki, tutafuta leseni zao za kibiashara na kuziweka chini ya ufilisi benki hizi zote tano kuanzia leo.” – Prof. Benno Ndulu
GOOD NEWS: JPM atangaza kutoa Tsh Bilioni 200
Diwani aliyejitolea kujenga madarasa kwa ajili ya wanafunzi kusoma masomo ya ziada