Timu ya taifa ya Hispania ilikuwa miongoni mwa timu 32 zilizokuwa zinashiriki michuano ya World Cup 2018 nchini Urusi, Hispania baada ya kuondolewa katika michuano hiyo hatua ya 16 bora walirejea kwao na leo zimeripotiwa taarifa za Koke kuja Tanzania.
Kiungo Koke anayecheza club ya Aletico Madrid alikuwa sehemu ya kikosi cha Hispania katika michuano ya World Cup 2018 na baada ya kutolewa, amekuja Tanzania katika hifadhi ya Ngorongoro akiwa na mpenzi wake kuja kutalii.
Haji Manara kaeleza sababu za kuwasajili Wawa, Dida na Kagere