Leo January 26, 2018 Waziri wa Maliasili na Utalii Dr. Hamisi Kigwangalla ametembelea Makumbusho ya kumbukizi ya Nyumba ya Mwalimu Nyerere kwa lengo kuangalia hali ya kituo hicho baada ya kupokea taarifa kuwa kiko katika hali mbaya.
“Tumefanya ziara katika kituo hiki, kuangalia changamoto zilizopo baada ya kupokea taarifa kwamba kituo kipo katika hali mbaya na kinahitaji kufanyiwa maboresho, hapa kuna utajiri mkubwa sana wa historia wa mwanzo wa harakati za Baba wa Taifa, tunakusudia kufanyia maboresho,”-Dr. Kigwangalla
BREAKING: TIDO MHANDO ALIVYOFIKISHWA MAHAKAMANI LEO