Leo January 14, 2017 Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamis Kigwangalla na Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Mwigulu Nchemba wamefanya ukaguzi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Julius Nyerere (JNIA), kwa ajili ya kufuatilia utendaji kazi katika uwanja huo.
“KAMA SERIKALI HAITANYA CHOCHOTE , TUTAANDAMANA MPAKA UBALOZI WA MAREKANI”- ACT Wazalendo