Timu ya taifa ya Sweden leo imecheza mchezo wake wa kwanza wa World Cup 2018 dhidi ya timu ya taifa ya South Korea, kila timu ikionesha dalili za kuhitaji matokeo muhimu ili iweze kupata point tatu zitakazoiwezesha kukaa nafasi nzuri katika Kundi.
Sweden wakicheza na Panama leo wamefanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0, goli la Sweden likipatikana dakika ya 65 kupitia kwa nahodha wao Andreas Granqvist aliyepiga mkwaju wa penati na kuwafanya kuwa timu ya pili ya Kundi F kupata point tatu baada ya Mexico.
Ushindi huo hata hivyo ulisaidiwa na muamuzi wa mchezo kutumia teknolojia ya video ili kujiridhisha kuwa penati hiyo iliingia wavuni (Video Assistant Referee VAR), Sweden sasa watahitaji ushindi katika mchezo mmoja ujao ili kufuzu hatua ya 16.
FULL VIDEO: Zilivyotolewa tuzo za MO Simba Awards 2018