Shirikisho la soka Tanzania TFF baada ya kuondolewa kwa wachezaji sita wa Simba SC katika kikosi cha Taifa Stars kwa kuchelewa kufika kambini, leo TFF na Simba wamekaa mezani na kueleza walichokiamua.
Wachezaji wa Simba SC John Bocco, Shomary Kapombe, Erasto Nyoni, Hassan Dilunga, Shiza Kichuya na Jonas Mkude leo wameripotiwa kuwa walikutana na kocha mkuu na amewsamehe ila hawatokuwa sehemu ya kikosi cha Taifa
TFF na Simba SC baada ya wachezaji sita wa Simba kukaa na kocha mkuu wa Taifa Stars Emmanuel Amunike amekubali kuwa atakuwa na nafasi ya kuwaita wakati mwingine kama wataonesha uwezo lakini sio kwa mechi vs Uganda.
Kitu Mzee Akilimali kaongea kuhusu stori za Yussuf Manji kurudi Yanga SC