Mtanzania Emmanuel Austin ambaye anaishi na kufanya shughuli zake nchini Ujerumani, amerudi Tanzania kwa ajili ya kuendeleza Work shop yake ya dance ambayo ameanza utaratibu wa kuifanya kila mwaka.
Austin amefanikiwa kuifanya work shop hiyo na kupewa sapoti na wasanii kama Ben Pol na Msami ambaye kabla ya kuanza kuimba alianza ku-dance kama dancer kabla ya kuingia rasmi kwenye uimbaji.
Povu la Mke wa Chege kwa wanaomfuata DM juu ya Mumewe ‘Muhuni si handsome’