Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayecheza soka la kulipwa katika club ya Difaa El Jadid ya Morocco Simon Msuva kwa sasa yupo Tanzania kwa mapumziko ya siku chache lakini ameendelea kurudisha kwa jamii baada ya kufanikiwa kupata nafasi ya kucheza soka la kulipwa.
Msuva amewatembelea vijana wanaocheza soka katika kituo cha Wakati Ujao Youth Academy na kuwapa zawadi ya jezi, ikiwa ni siku moja imepita toka Msuva atembelee kituo cha watoto wanaoishi katika mazingira magumu na kutoa msaada.
Obrey Chirwa wa Yanga amefungiwa?