Mwezi February ni mwezi wa Wapendanao na kilele chake ni Fabruary 14 ambapo kila mmoja ana mbinu zake kwa Baby number one wake na yeyote mwenye love na yeye awe rafiki, ndugu au mzazi.
Wakati ukisubiria hiyo February 14, millardayo.com imekusogezea hizi video mbili fupi hii video ya kwanza jamaa anatamkia wazi kila Mrembo anaekutana nae kuomba awe girlfriend wake… atajibu nini? video ya pili jamaa anawaomba namba za simu Wasichana Warembo Wamarekani wenye asili ya Afrika.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE