Kwa watu wanaohangaika namna ya kupunguza uzito pasipo kujinyima kula chakula kama walivyozoea, kuna utafiti mpya mpya kutoka nchini Canada kuhusu namna tambi zilivyo na mchango mkubwa kwenye kupunguza uzito.
Utafiti huo, uliochapishwa katika Jarida la BMJ Open, uligundua kuwa watu walipoteza takriban gramu 500 kwa wiki 12 baada ya kula tambi mfululizo kwa siku saba.
Watafiti hao wa Canada wameeleza kuwa tambi husaidia katika kupunguza uzito tofauti na vyakula vingine vya wanga ambavyo kwa kiasi kikubwa huongeza uzito.
Wanafunzi 333 wajawazito Arusha, DC ametaja udhaifu wa Wanaume