Katika msimu huu wa Sikukuu ya Pasaka, kanisa moja nchini Colombia limetoa msaada wa mikate ya sakramenenti ya Kikristo 250,000 kwa kanisa la Katoliki lililopo nchini Venezuela.
Hii inaelezwa kutokana na uhaba wa unga wa ngano unaowakabili watu wa Venezuela. Unga huo ndio unaotumika kutengenezea mikate hiyo.
Mikate hiyo inatumika kanisani wakati wa kipindi cha sikukuu ya Pasaka kama ishara ya kukumbuka mateso na Yesu Kristo karne nyingi zilizopita.
“Ningemfunga Mbowe miaka 200, nitapiga mtu risasi” -Musiba
https://youtu.be/GSafAUUA8Bk