Club ya Azam FC usiku wa Janury 2 2019 ilicheza game yake ya kwanza ya Mapinduzi Cup 2019 dhidi ya timu ya Jamhuri ya Pemba ambayo imepangwa nayo Kundi moja, Azam FC ambao wamesafiri kutoka Dar es Salaam hadi Unguja kwa ajili ya mashindano hayo wakiwa na kikosi chao kamili wamekutana na upinzani mkali.
Jamhuri ya Pemba imekuwa tofauti na miaka ya nyuma ilikuwa inaweza kufunga hata magoli manne ila leo, imejitutumua na kuhakikisha inaondoka na point moja licha ya Azam FC kutangulia kupata goli la mapema la mkwaju wa penati ila Jamhuri walisawazisha dakika ya kupitia kwa
Baada ya mchezo huo Kocha wa Azam FC ameeleza kusikitishwa na kusema kuwa huu ulikuwa ni mchezo wa wao kushinda hivyo amesikitishwa na wachezaji wake “Kuhusu kiwango kilichooneshwa na timu nimesikitishwa kiukweli kwa kawaida ulitakiwa kusuhinda hii mechi kama usiposhinda lazima usikitishwe”
Kocha wa Simba baada ya kuwasili Zanzibar”Sio njia bora ya kuandaa timu”