Mbali na kwamba GSM wanajivunia Mapinduzi makubwa na kuwa brand namba moja inayotoa bidhaa na huduma za viwango vya kimataifa na shopping experience ya kipekee.
Sasa wametangaza kupunguza bei kwa bidhaa hii ya ndani mteja wao unapofika katika Maduka ya GSM yakiwemo ikiwemo, Splash, Max, babyshop, Shoexpress ambapo mteja utaweza hudumiwa bidhaa hii iliyopunguzwa kwa asilimia 20% wahi sasa.
Na Punguza hilo lilianza tangu Agosti 30, 2023 na kuisha Septemba 3, 2023 wahi sasa mjulishe na Mwenzako punguzo hilo lisilopite.
Kwa mawasiliano zaidi wapigie 0745 000 000 wakuhudumie kile unachohitaji kutoka GSM Mall.