AyoTV na millardayo.com zimezungumza na Wazee wenye umri zaidi ya miaka 90 walioamua kufunga Ndoa huko Geita Tanzania, nini hasa kimetokea mpaka wakachelewa kiasi hicho? mapenzi yao yalivyoanza yalikuaje? mapenzi ya sasa ya vijana wanayaonaje? bonyeza play hapa chini kuipata full story
NYOTA 3: MAISHA YA HASSAN NGARENARO, RAFIKI ZAKE 18 WAMEUWAWA KWA WIZI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA
GIGY MONEY: “NILIUZA MWILI WANGU ILI NIMLIPIE MAMA YANGU DENI BENKI” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA GIGY AKIONGEA YOTE