Simba SC imepata pigo dakika ya 45 ya mchezo wa Mapinduzi Cup 2019 dhidi ya KMKM kufuatia beki wao kiraka Erasto Nyoni kuumia goti la kulia ikiwa zimesalia siku 6 kabla ya Simba kucheza game yake ya kwanza CAF Champions League dhidi ya Js Saouro.
Hivyo mashabiki wa Simba uwanja wa Amaan wameanza kuwa na hofu na kuulizana kuhusu mchezaji huyo ataweza kurejea uwanjani mapema kabla ya game dhidi ya Js Saouro January 12, AyoTV inafuatilia taarifa kutoka kwa Dr wa team ya Simba itazisogeza hapa.
Baraka Mpenja wa Azam TV “Walitaka kuandika barua nisitangaze mechi zao”