Leo August 26, 2017 Chama cha Wananchi CUF wamekutana na Waandishi wa Habari na kuzungumzia mambo mbalimbali ikiwemo pia kuzindua Kampeni maalumu kwa ajili ya kujiimarisha zaidi kuelekea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020.
>>>”Leo tutazindua Kampeni inayoitwa Kumi kwa Kumi. Kampeni ya Kitaifa na kampeni ya chama kwa ujumla.” – Magdalena Sakaya.
MAHAKAMA KUU KUHUSU WALE WABUNGE 8 WA CUF