Good news ninayotaka kukusogezea ni kwamba Serikali ina mpango wa kuanzisha usafiri wa majini ambao utakuwa ukianzia Posta mpaka Mbagala Usafiri huo mpya wa Boti za kisasa utasaidia kupunguza foleni za barabarani kwa wakazi wa Dar es Salaam.
Akizungumza katika uzinduzi huo Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alisema>>>Tunao mpango wa kuhakikisha ya kwamba wananchi wanaoishi Mbagala wanaanza kutumia usafiri wa boti badala ya usafiri wa Daladala na tayari tumeshatuma watu wanafanya upembuzi yakinifu kama inawezekana kutumia boti za kisasa kupunguza foleni za barabarani’– Paul Makonda
Unaweza ukabonyeza Play kuitazama hii video uone kilichozungumzwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuhusu usafiri huo mpya
ULIIKOSA HII KAULI TUNDU LISSU BAADA YA KUTOKA MAHAKAMANI LEO BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA