Baada ya kuibuka mgogoro baina ya Wakulima na wafanyabiashara wa zao la Kahawa katika baadhi ya mikoa ikiwemo Kagera licha ya Serikali kutoa maagizo ya mara kwa mara ili kutatua kero hizo, Ayo TV imempata kwenye exclusive interview Mbunge wa Karagwe Innocent Bashungwa ambaye ameelezea namna hali ilivyo mbaya kwa wananchi katika jimbo lake.
Mapendekezo nane ya Mbunge Gulamali kuhusu muswada mpya sekta ya Elimu