Klabu ya Manchester City ya Uingereza leo June 2 2016 imetangaza kukamilisha usajili wa kwanza wa kiungo wa kimataifa wa Ujerumani aliyekuwa anaichezea klabu ya Borrusia Dortmund Ilkay Gundogan.
Man City wametangaza kumsajili Ilkay Gundogan kwa mkataba wa miaka minne lakini ada ya usajili ya nyota huyo inakadiliwa kufikia pound milioni 21 ambazo ni zaidi ya bilioni 60 za kitanzania.
Ilkay Gundogan ambaye ni kiungo wa kati, ana umri wa miaka 25 , lakini hadi anaondoka Dortmund na kujiunga na Man City alikuwa kacheza jumla ya mechi 157, lakini katika msimu uliomalizika wa Bundesliga, Ilkay Gundogan amecheza mechi 25, kafunga goli moja, katengeneza nafasi 26 za magoli na kupiga pasi zilizofika kwa wastani wa asilimia 39.
.@Guendogan8 signs for City! #WelcomeIlkay #mcfc https://t.co/a5Nkykajbl
— Manchester City FC (@MCFC) June 2, 2016
ALL GOALS: Azam FC Vs Esperance ya Tunisia April 10 2016 (Full Time 2-1)
https://youtu.be/duzv5kA8Q-c
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE