Tuzo maarufu za filamu za Oscars nchini Marekani (90th Oscars Annual Academy Awards) zimefanyika usiku wa kuamkia leo March 5, 2018.
Mitindo mbalimbali imeonekana kwenye Red Carpet, huku watu mbalimbali wakitoa maoni yao jinsi mastaa walivyotokelezea.
millardayo.com imechambua mastaa 10 kati ya wengi ambao ‘walivunja kabati’ na kupendeza zaidi kwenye red carpet hiyo ya tuzo za Oscars.
Margot Elise Robbie (Mwigizaji na raia wa Australia)
I, Tonya (Mwingizaji wa Marekani)
Lonnie Rashid Lynn ‘Common’ (Mwigizaji Marekani)
Mary J Blidge (Mwimbaji na Mwigizaji wa Marekani)
Lupita Nyong’o (Mwigizaji wa asili ya Kenya)
Elisabeth Moss (Mwigizaji Marekani)
Chadwick Boseman (Staa wa Black Panther)
Viola Davis (Mwigizaji Marekani)
Taraji P. Henson (Mwigizaji Marekani)
Gina Rodriguez (Mwigizaji Marekani)
ON AIR: “Najiuliza ‘uzuri wako’ ya JUX imefungiwaje? – BILLNASS
https://youtu.be/OOg94i6Aq5k`
BLACK & WHITE: Lulu Diva awalipia viingilio Mashabiki zake