Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa kupitia CCM Rose Tweve ni miongoni mwa wabunge waliosimama Bungeni kuchangia mapendekezo yao katika makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya fedha na mipango kwa mwaka wa fedha 2018/19 ambapo aliitaka serikali kupitia upya sheria za mikataba ya kampuni za bima na kufanya mabadiliko kutokana na kuwa na mapungufu mengi.
Naibu Waziri wa Walemavu amwaga machozi akiongea alivyoguswa (MARIA NA CONSOLATA)