Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan leo amefungua Makumbusho ya Olduvai Gorge Ngorongoro ambayo ndani yake zimehifadhiwa nyayo za binadamu wa kwanza na fuvu la binadamu wa kale.
Kwenye uzinduzi huu Mama Samia pia amewaagiza wananchi kuhakikiksha hawapeleki mifugo yao kwenye eneo la hifadhi ya Ngorongoro crator ili kuzuia uharibifu ambao utaharibu kabisa hifadhi hizo muhimu jambo ambalo linaweza kuepukika.
Ulipitwa na hii? “Wanawake 30 wanafariki kila siku wakiwa wanajifungua” – Ummy Mwalimu