Leo May 9, 2018 Shahidi wa tano, Mohammed Makamula katika kesi inayomkabili mmiliki wa shule ya Lucky Vicent, Innocent Mushi pamoja na makamu mkuu wa shule hiyo, Longino Nkana ameieleza mahakama kwamba bima ya basi lililoua wanafunzi 32 ilikuwa haina uhalali kwa kuwa umiliki wa basi hilo ulikuwa umeisha.
TEKNOLOJIA MPYA TZ: Kadi inayodhibiti wizi na upotevu wa maji