Kaimu kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Etienne Ndairagije amethbitisha kuwa hakuna majeruhi yoyote na kikosi chake kipo kambini kujiandaa na mchezo wa kuwania kufuzu kucheza CHAN 2020.
Kikosi cha Ndairagije kipo vizuri zaidi na wengi wao ni wachezaji ambao wamekuwa na uzoefu kucheza mechi za kimataifa, mazoezi ya mwisho mwisho yanaendelea uwanja wa Taifa kwa ajili ya kumkabiriana na Sudan.
VIDEO: Moja kati ya magoli ya marehemu Jeba, hili liliwaumiza wana-Simba 2016