Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo April 1, 2021,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
HARMORAPA NA MKALI WENU WAKIWA CHATO WAMEZUNGUMZA HAYA KUHUSU HAYATI MAGUFULI