Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam July 20, 2022,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania,
KAULI YA WAZIRI MKUU BAADA YA KUKAGUA MAONESHO YA ELIMU “TAKRIBANI TRILIONI 5.32 KWAAJILI YA MIKOPO”