Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo September 21, 2020,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
“MMEIONA HELIKOPTA NA NIMEAMUA KUPITA KWENYE VUMBI” MAGUFULI AKIWA NJIANI