Kila asubuhi Millard Ayo atazisogeza karibu yako habari zote kubwa kutoka kwenye Magazeti mbalimbali ya Tanzania ambapo huwa naziweka kwenye page ya Twitter ya @millardayo na kwenye Youtube ya millardayo bila kusahau millardayo.com.
Moja ya habari iliyoandikwa leo ni hii kutoka gazeti la Jambo leo yenye kichwa cha habari ‘Sababu za wanandoa kukimbiana harusini’.
Baada ya kuwepo kwa mfululizo wa wa matukio ya wapenzi kukimbiana siku ya harusi, gazeti la Jambo leo limezungumza na mtaalamu wa Saikolojia na uhusiano wa chuo kikuu cha Dar es salaam, Dk. Chris Mauki amezitaja sababu za watu wengi kukimbiana siku ya harusi ikiwemo ni pamoja na kutofahamiana vizuri, kuhifadhi vitu mioyoni na wasiwasi juu ya ndoa baina ya wapenzi
#JamboLEO Sababu za wanandoa kukimbiana harusini
1.kutofahamiana vizuri
2.kuhifadhi vitu mioyoni
3.wasiwasi juu ya ndoa baina ya wapenzi pic.twitter.com/PXwZeL6hC0
— millardayo (@millardayo) January 5, 2017
Unaweza kuzipitia hapa chini habari nyingine kubwa kutoka kwenye magazeti ya Tanzania leo Jan 5 2017
#NIPASHE Imefafanuliwa kuwa ugonjwa wa kiharusi 'stroke' ni matokeo ya mapungufu ya kibailojia mwilini ikiwamo kwenye ubongo pic.twitter.com/266hJhEC0b
— millardayo (@millardayo) January 5, 2017
#NIPASHE Kwa mujibu wa utafiti uliotolewa ni kuwa wanaume na wanawake kutoka Kenya ndio warefu zaidi katika eneo la Afrika Mashariki pic.twitter.com/aW2hst44uz
— millardayo (@millardayo) January 5, 2017
#NIPASHE Pombe imetajwa kuwa chanzo kikuu cha aina saba za saratani na watu wanaoitumia hata kiwango kidogo, wanajiweka ktk hatari ya kuugua pic.twitter.com/HQMB9nosZo
— millardayo (@millardayo) January 5, 2017
#NIPASHE Mkazi wa Rombo K'njaro, John Albin ajeruhiwa vibaya kwa kipigo cha waendesha bodaboda wakimfananisha na mwizi wa pikipiki pic.twitter.com/fktmSWsemU
— millardayo (@millardayo) January 5, 2017
#MWANANCHI Polisi Mbeya wanamshikilia mkazi wa kijiji cha Chapakazi kwa tuhuma za kufukua kaburi alilozikwa mtu mwenye ulemavu wa ngozi 2010 pic.twitter.com/LXHOngWOYh
— millardayo (@millardayo) January 5, 2017
#MWANANCHI Utata umeongezeka hali ya chakula nchini baada ya mkoa wa Mara kuomba tani 3,600 za chakula kutoka NFRA ili kuwagawia wananchi pic.twitter.com/0eDpDwqQLI
— millardayo (@millardayo) January 5, 2017
#MWANANCHI Panga lapita tena TANESCO, Wakurugenzi watatu washushwa vyeo na kuhamishiwa ktk chuo cha TANESCO 'TSS' pic.twitter.com/QhFMuDkQQC
— millardayo (@millardayo) January 5, 2017
#MWANANCHI Wananchi wa mkoa wa Lindi wamelalamikia kukosa huduma ya umeme kwa zaidi ya saa saba kila siku kwa takribani miezi mitatu pic.twitter.com/m6C39MxvfV
— millardayo (@millardayo) January 5, 2017
#MWANANCHI Raia wa China amefikishwa ktk mahakama ya mwanzo kariakoo kujibu shtaka la kulala hotelini na kushindwa kulipa gharama pic.twitter.com/nJ6Cv8HaDT
— millardayo (@millardayo) January 5, 2017
#MWANANCHI TRL imesema kupunguzwa kwa safari mbili DSM kutaliingizia hasara ya mil 75 kutokana na ukarabati wa njia ya reli unaoendelea pic.twitter.com/0q6u1V7Nkj
— millardayo (@millardayo) January 5, 2017
#MWANANCHI Kiwanda cha nyama Shinyanga ambacho kilijengwa enzi za Nyerere hakijawahi kufanya kazi licha ya kupewa wawekezaji mbalimbali pic.twitter.com/Z20xOCqeIM
— millardayo (@millardayo) January 5, 2017
#TanzaniaDAIMA Madaktari KCMC wamefanya upasuaji wa kuziba umbile la kike la mtoto '5' aliyegundulika kuwa na jinsia mbili baada ya kuzaliwa pic.twitter.com/6A8ebkQZbL
— millardayo (@millardayo) January 5, 2017
#MTANZANIA Askari mmoja wa jeshi la polisi mkoa wa Mwanza, amefariki ghafla akiwa eneo la kazi ktk kituo cha polisi Nyegezi pic.twitter.com/ihYgU13n1t
— millardayo (@millardayo) January 5, 2017
#MTANZANIA Imeelezwa kuwa vyakula vinavyohatarisha nguvu za kiume ni vyenye asili ya homoni ya kike iitwayo estrogen ikiwemo soya pic.twitter.com/b7iBDaYBUe
— millardayo (@millardayo) January 5, 2017
#MTANZANIA Tafiti zinaonyesha kitunguu swaumu kimeonekana kuwa na uwezo kutibu maambukizi ya bakteria, fangasi, virusi vya aina mbalimbali pic.twitter.com/pKxTLoFznm
— millardayo (@millardayo) January 5, 2017
#MTANZANIA Imeelezwa kuwa asilimia 80 ya watu walio na tatizo la kigugumizi ni wanaume pic.twitter.com/DaMilS4ePY
— millardayo (@millardayo) January 5, 2017
#JamboLEO Sababu za wanandoa kukimbiana harusini
1.kutofahamiana vizuri
2.kuhifadhi vitu mioyoni
3.wasiwasi juu ya ndoa baina ya wapenzi pic.twitter.com/PXwZeL6hC0
— millardayo (@millardayo) January 5, 2017
#JamboLEO Rais wa Burundi, Nkurunzinza ambaye kuchaguliwa kwake awamu ya tatu kuliibua ghasia, amegusia kwamba huenda akawania muhula wa 4 pic.twitter.com/7RFBu18EPN
— millardayo (@millardayo) January 5, 2017
AyoTVMAGAZETI: Panga lapita tena Tanesco, Ada za shule muhula mpya pasua kichwa
unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE