Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#NIPASHE Saratani ya shingo ya kizazi ndiyo inayoongoza nchini kati ya saratani zote kwa 40% ikifuatiwa ya ngozi 20% pic.twitter.com/d4mszQlGvT
— millardayo (@millardayo) September 19, 2016
#NIPASHE Wanafunzi 268 shule za msingi na sekondari K'njaro wamekutwa na ujazito ktk kipindi cha August mwaka huu pic.twitter.com/c7I4r4wede
— millardayo (@millardayo) September 19, 2016
#MWANANCHI Aliyeng'atwa ulimi Singida ahofia kuachwa na mchumba wake kutokana na kitendo hicho pic.twitter.com/ardVb8vQa8
— millardayo (@millardayo) September 19, 2016
#MWANANCHI Waliosimamishwa CUF watishia kumshtaki Mtatiro wataka athibitishe kuhusika kwao kutaka kumteka Bashange pic.twitter.com/8Neml8UNtm
— millardayo (@millardayo) September 19, 2016
#MWANANCHI Ndege ya kwanza kati ya mbili zilizonunuliwa na Serikali kuingia nchini kesho ikitokea Canada pic.twitter.com/7lUYhwcv9Z

#NIPASHE Watatu wafariki Chunya mkoani Songwe baada ya kukosa hewa walipokuwa wakichimba dhahabu mgodini pic.twitter.com/DYYGzHRaki

#HabariLEO RC Makonda azindua programu maalumu ya bodaboda, bajaji ambao sasa watasajiliwa kwa namba zao maalumu pic.twitter.com/ZyjQtwv4tt
— millardayo (@millardayo) September 19, 2016
#MTANZANIA Mifuko ya jamii yatakiwa kupunguza gharama za uendeshaji, kiwango cha matumizi kisizidi 10% ya michango pic.twitter.com/0Lf3G4bT4N
— millardayo (@millardayo) September 19, 2016
#MTANZANIA Hospitali ya Muhimbili yaanza mchakato wa kununua mashine mpya ya MRI baada ya iliyopo sasa kuelemewa pic.twitter.com/7hVPD4xrUM
— millardayo (@millardayo) September 19, 2016
#TanzaniaDAIMA Lushoto yapiga marufuku kutembea usiku kutokana na kuibuka kwa vitendo vya uhalifu wa kutumia silaha pic.twitter.com/ccepcaeHhy
— millardayo (@millardayo) September 19, 2016
#TanzaniaDAIMA Wawili wafikishwa mahakama ya Ilala DSM kwa tuhuma za ubakaji akiwemo mama wa binti aliyebakwa pic.twitter.com/GPTKppI4qv
— millardayo (@millardayo) September 19, 2016
#NIPASHE Wadau wa afya wazindua tovuti ya kwanza yenye habari za ugonjwa wa figo kwa lugha ya kiswahili pic.twitter.com/bkHUqgIxsm
— millardayo (@millardayo) September 19, 2016
#MWANANCHI Vikongwe 26 wameuawa kwa imani za ushirikina mkoani Shinyanga kuanzia January 2015 hadi June mwaka huu pic.twitter.com/vpG4tEyQBf
— millardayo (@millardayo) September 19, 2016
#MWANASPOTI Simba wamegundua mapungufu uwanja wa uhuru baada ya uwanja huo kuwaumiza wachezaji wao watatu pic.twitter.com/qfosNSEaIl
— millardayo (@millardayo) September 19, 2016
#MWANANCHI Tetemeko lawalaza mapadri kwenye magari Bukoba, ni kutokana na nyumba zao kuathiriwa vibaya pic.twitter.com/9pEwoccPTP
— millardayo (@millardayo) September 19, 2016
#MWANANCHI Takribani watu 39,088,163 kati ya 44,928,923 nchini sawa na asilimia 87, hawana vyeti vya kuzaliwa pic.twitter.com/oaigN9SWFp
— millardayo (@millardayo) September 19, 2016
#MWANANCHI Mahabusu gereza la wilaya ya Kahama ameshtakiwa kwa kukubali kulawitiwa jambo ambalo ni kinyume na sheria pic.twitter.com/CTtU40mu6M
— millardayo (@millardayo) September 19, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV SEPTEMBER 19 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI